Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Hajj
:36
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
ngamia
wa
sadaka
tumekufanyieni
kuwa
ni
kudhihirisha
matukuzo
kwa
Mwenyezi
Mungu;
kwa
hao
mna
kheri
nyingi.
Basi
litajeni
jina
la
Mwenyezi
Mungu
juu
yao
wanapo
simama
kwa
safu.
Na
waangukapo
ubavu
kuleni
katika
hao
na
walisheni
walio
kinai
na
wanao
lazimika
kuomba.
Ndio
kama
hivi
tumewafanya
hawa
wanyama
dhalili
kwenu
ili
mpate
kushukuru.
]
[ والبدن جعلناها لكم من شعائر الله لكم فيها خير فاذكروا اسم الله عليها صواف فإذا وجبت جنوبها فكلوا منها وأطعموا القانع والمعتر كذلك سخرناها لكم لعلكم تشكرون ] — الحج 36