Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.026 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Talaq
:1
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ewe
Nabii!
Mtakapo
wapa
talaka
wanawake,
basi
wapeni
talaka
katika
wakati
wa
eda
zao.
Na
fanyeni
hisabu
ya
eda.
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu,
Mola
wenu
Mlezi.
Msiwatoe
katika
nyumba
zao,
wala
wasitoke
wenyewe,
ila
wakifanya
jambo
la
uchafu
ulio
wazi.
Hiyo
ndiyo
mipaka
ya
Mwenyezi
Mungu,
msiikiuke.
Na
mwenye
kuikiuka
mipaka
ya
Mwenyezi
Mungu,
basi
amejidhulumu
nafsi
yake.
Hujui;
labda
Mwenyezi
Mungu
ataleta
jambo
jengine
baada
ya
haya.
]
[ يا أيها النبي إذا طلقتم النساء فطلقوهن لعدتهن وأحصوا العدة واتقوا الله ربكم لا تخرجوهن من بيوتهن ولا يخرجن إلا أن يأتين بفاحشة مبينة وتلك حدود الله ومن يتعد حدود الله فقد ظلم نفسه لا تدري لعل الله يحدث بعد ذلك أمرا ] — الطلاق 1