Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.039 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:217
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanakuuliza
juu
ya
kupigana
vita
katika
mwezi
mtakatifu.
Sema:
Kupigana
vita
wakati
huo
ni
dhambi
kubwa.
Lakini
kuzuilia
watu
wasende
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
na
kumkanusha
Yeye,
na
kuzuilia
watu
wasende
kwenye
Msikiti
Mtakatifu
na
kuwatoa
watu
wake
humo,
ni
makubwa
zaidi
mbele
ya
Mwenyezi
Mungu.
Na
fitina
ni
mbaya
zaidi
kuliko
kuuwa.
Wala
hawatoacha
kupigana
nanyi
mpaka
wakutoeni
katika
Dini
yenu
kama
wakiweza.
Na
yeyote
katika
nyinyi
akiacha
Dini
yake
akafa
naye
ni
kafiri,
basi
hao
ndio
ambao
a'mali
zao
zimeharibika
duniani
na
Akhera.
Na
hao
ndio
watu
wa
Motoni;
humo
watadumu.
]
[ يسألونك عن الشهر الحرام قتال فيه قل قتال فيه كبير وصد عن سبيل الله وكفر به والمسجد الحرام وإخراج أهله منه أكبر عند الله والفتنة أكبر من القتل ولا يزالون يقاتلونكم حتى يردوكم عن دينكم إن استطاعوا ومن يرتدد منكم عن دينه فيمت وهو كافر فأولئك حبطت أعمالهم في الدنيا والآخرة وأولئك أصحاب النار هم فيها خالدون ] — البقرة 217