Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yunus
:98
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kwa
nini
usiwepo
mji
mmoja
ukaamini
na
Imani
yake
ikawafaa
-
isipo
kuwa
kaumu
Yunus?
Waliamini
na
Sisi
tukawaondolea
adhabu
ya
hizaya
katika
maisha
ya
dunia,
na
tukawastarehesha
kwa
muda.
]
[ فلولا كانت قرية آمنت فنفعها إيمانها إلا قوم يونس لما آمنوا كشفنا عنهم عذاب الخزي في الحياة الدنيا ومتعناهم إلى حين ] — يونس 98
#2
Al-Munafiqun
:3
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hayo
ni
kwa
sababu
ya
kuwa
waliamini,
kisha
wakakufuru;
kwa
hivyo
umepigwa
muhuri
juu
ya
nyoyo
zao.
Kwa
hivyo
hawafahamu
lolote.
]
[ ذلك بأنهم آمنوا ثم كفروا فطبع على قلوبهم فهم لا يفقهون ] — المنافقون 3