Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ghafir
:7
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wale
wanao
beba
A'rshi,
na
wanao
izunguka,
wanamsabihi
na
kumhimidi
Mola
wao
Mlezi,
na
wanamuamini,
na
wanawaombea
msamaha
walio
amini
kwa
kusema:
Mola
wetu
Mlezi!
Umekienea
kila
kitu
kwa
rehema
na
ujuzi.
Basi
wasamehe
walio
tubu
na
wakaifuata
Njia
yako,
na
waepushe
na
adhabu
ya
Jahannamu.
]
[ الذين يحملون العرش ومن حوله يسبحون بحمد ربهم ويؤمنون به ويستغفرون للذين آمنوا ربنا وسعت كل شيء رحمة وعلما فاغفر للذين تابوا واتبعوا سبيلك وقهم عذاب الجحيم ] — غافر 7