Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:126
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
alipo
sema
Ibrahim:
Ee
Mola
wangu
Mlezi!
Ufanye
huu
uwe
mji
wa
amani,
na
uwaruzuku
watu
wake
matunda,
wale
wanao
muamini
Mwenyezi
Mungu
na
Siku
ya
Mwisho.
Akasema:
Na
mwenye
kukufuru
pia
nitamstarehesha
kidogo,
kisha
nitamsukumiza
kwenye
adhabu
ya
Moto,
napo
ni
pahala
pabaya
mno
pa
kurejea.
]
[ وإذ قال إبراهيم رب اجعل هذا بلدا آمنا وارزق أهله من الثمرات من آمن منهم بالله واليوم الآخر قال ومن كفر فأمتعه قليلا ثم أضطره إلى عذاب النار وبئس المصير ] — البقرة 126