Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-An'am
:138
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Nao
husema:
Wanyama
hawa
na
mimea
hii
ni
mwiko.
Hawatokula
ila
wale
tuwapendao
-
kwa
madai
yao
tu.
Na
wanyama
hawa
imeharimishwa
migongo
yao
kupandwa.
Na
wanyama
wengine
hawalitaji
jina
la
Mwenyezi
Mungu
juu
yao.
Wanamzulia
uwongo
tu
Mwenyezi
Mungu.
Atawalipa
kwa
hayo
wanayo
mzulia.
]
[ وقالوا هذه أنعام وحرث حجر لا يطعمها إلا من نشاء بزعمهم وأنعام حرمت ظهورها وأنعام لا يذكرون اسم الله عليها افتراء عليه سيجزيهم بما كانوا يفترون ] — الأنعام 138