Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Ma'idah
:67
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ewe
Mtume!
Fikisha
uliyo
teremshiwa
kutoka
kwa
Mola
wako
Mlezi.
Na
ikiwa
hukufanya
hayo
basi
hukufikisha
ujumbe
wake.
Na
Mwenyezi
Mungu
atakulinda
na
watu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
hawaongoi
watu
makafiri.
]
[ يا أيها الرسول بلغ ما أنزل إليك من ربك وإن لم تفعل فما بلغت رسالته والله يعصمك من الناس إن الله لا يهدي القوم الكافرين ] — المائدة 67