Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 3 ന്റെ 3 )
(0.029 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-An'am
:54
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wanapo
kujia
wanao
ziamini
Ishara
zetu
waambie:
Assalamu
alaikum!
Amani
iwe
juu
yenu!
Mola
wenu
Mlezi
amejilazimisha
rehema,
ya
kwamba
atakaye
fanya
uovu
miongoni
mwenu
kwa
ujinga,
kisha
akatubu
baada
yake
na
akatengenea,
basi
hakika
Yeye
ni
Mwenye
maghfira
na
Mwenye
kurehemu.
]
[ وإذا جاءك الذين يؤمنون بآياتنا فقل سلام عليكم كتب ربكم على نفسه الرحمة أنه من عمل منكم سوءا بجهالة ثم تاب من بعده وأصلح فأنه غفور رحيم ] — الأنعام 54
#2
Al-A'raf
:46
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
baina
ya
makundi
mawili
hayo
patakuwapo
pazia.
Na
juu
ya
Mnyanyuko
patakuwa
watu
watakao
wajua
wote
kwa
alama
zao,
na
wao
watawaita
watu
wa
Peponi:
Assalamu
Alaykum,
Amani
juu
yenu!
Wao
bado
hawajaingia
humo,
lakini
wanatumai.
]
[ وبينهما حجاب وعلى الأعراف رجال يعرفون كلا بسيماهم ونادوا أصحاب الجنة أن سلام عليكم لم يدخلوها وهم يطمعون ] — الأعراف 46
#3
Ar-Ra'd
:24
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani