Filter Results
ئەنجام: ( 1 بۆ 1 ليرەوە 1 )
(0.022 دووةم)
#1
النمل
:19
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
(Sulaiman)
akatabasamu
akacheka
kwa
neno
hili,
na
akasema:
Ee
Mola
wangu
Mlezi!
Nizindue
niishukuru
neema
yako
uliyo
nineemesha
mimi
na
wazazi
wangu,
na
nipate
kutenda
mema
uyapendayo,
na
uniingize
kwa
rehema
yako
katika
waja
wako
wema.
]
[ فتبسم ضاحكا من قولها وقال رب أوزعني أن أشكر نعمتك التي أنعمت علي وعلى والدي وأن أعمل صالحا ترضاه وأدخلني برحمتك في عبادك الصالحين ] — النمل 19