Filter Results
結果: ( 1 に 1 の 1 )
(0.025 秒)
#1
Hud
:48
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ikasemwa:
Ewe
Nuhu!
Shuka
kwa
salama
itokayo
kwetu,
na
baraka
nyingi
juu
yako
na
juu
ya
watu
walio
pamoja
nawe.
Na
zitakuwapo
kaumu
tutakazo
zistarehesha,
na
kisha
zitashikwa
na
adhabu
chungu
itokayo
kwetu.
]
[ قيل يا نوح اهبط بسلام منا وبركات عليك وعلى أمم ممن معك وأمم سنمتعهم ثم يمسهم منا عذاب أليم ] — هود 48