Filter Results
結果: ( 1 に 1 の 1 )
(0.040 秒)
#1
Al-Mumtahina
:10
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Wakikujilieni
wanawake
Waumini
walio
hama,
basi
wafanyieni
mtihani
-
Mwenyezi
Mungu
ndiye
Mwenye
kujua
zaidi
Imani
yao.
Mkiwa
mnawajua
kuwa
ni
Waumini
basi
msiwarudishe
kwa
makafiri.
Wanawake
hao
si
halali
kwa
hao
makafiri,
wala
hao
makafiri
hawahalalikii
wanawake
Waumini.
Na
wapeni
hao
wanaume
mahari
walio
toa.
Wala
hapana
makosa
kwenu
kuwaoa
mkiwapa
mahari
yao.
Wala
msiwaweke
wanawake
makafiri
katika
kifungo
cha
ndoa
zenu.
Na
takeni
mlicho
kitoa,
na
wao
watake
walicho
kitoa.
Hiyo
ndiyo
hukumu
ya
Mwenyezi
Mungu
anayo
kuhukumuni.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kujua,
Mwenye
hikima.
]
[ يا أيها الذين آمنوا إذا جاءكم المؤمنات مهاجرات فامتحنوهن الله أعلم بإيمانهن فإن علمتموهن مؤمنات فلا ترجعوهن إلى الكفار لا هن حل لهم ولا هم يحلون لهن وآتوهم ما أنفقوا ولا جناح عليكم أن تنكحوهن إذا آتيتموهن أجورهن ولا تمسكوا بعصم الكوافر واسألوا ما أنفقتم وليسألوا ما أنفقوا ذلكم حكم الله يحكم بينكم والله عليم حكيم ] — الممتحنة 10