Filter Results
結果: ( 1 に 2 の 2 )
(0.023 秒)
#1
Al-Ma'idah
:108
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hivi
inaelekea
zaidi
ya
kwamba
watatoa
ushahidi
ulio
sawa
au
wataogopa
visije
vikaletwa
viapo
vingine
baada
ya
viapo
vyao.
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu
na
msikie.
Na
hakika
Mwenyezi
Mungu
hawaongoi
wapotofu.
]
[ ذلك أدنى أن يأتوا بالشهادة على وجهها أو يخافوا أن ترد أيمان بعد أيمانهم واتقوا الله واسمعوا والله لا يهدي القوم الفاسقين ] — المائدة 108
#2
Al-Hujurat
:2
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msinyanyue
sauti
zenu
kuliko
sauti
ya
Nabii,
wala
msiseme
naye
kwa
kelele
kama
mnavyo
semezana
nyinyi
kwa
nyinyi,
visije
vitendo
vyenu
vikaharibika,
na
hali
hamtambui.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا ترفعوا أصواتكم فوق صوت النبي ولا تجهروا له بالقول كجهر بعضكم لبعض أن تحبط أعمالكم وأنتم لا تشعرون ] — الحجرات 2