Filter Results
結果: ( 1 に 1 の 1 )
(0.023 秒)
#1
Al-Ma'idah
:3
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mmeharimishiwa
nyamafu,
na
damu,
na
nyama
ya
nguruwe,
na
mnyama
aliye
chinjwa
si
kwa
ajili
ya
Mwenyezi
Mungu,
na
aliye
kufa
kwa
kunyongeka
koo,
na
aliye
kufa
kwa
kupigwa,
na
aliye
kufa
kwa
kuanguka,
na
aliye
kufa
kwa
kupigwa
pembe,
aliye
liwa
na
mnyama,
ila
mkimdiriki
kumchinja.
Na
pia
ni
haramu
kula
nyama
aliye
chinjiwa
masanamu.
Na
ni
haramu
kupiga
ramli.
Hayo
yote
ni
upotovu.
Leo
walio
kufuru
wamekata
tamaa
na
Dini
yenu;
basi
msiwaogope,
bali
niogopeni
Mimi.
Leo
nimekukamiliishieni
Dini
yenu,
na
nimekutimizieni
neema
yangu,
na
nimekupendeleeni
UISLAMU
uwe
ndiyo
Dini.
Na
mwenye
kushurutishwa
na
njaa,
bila
ya
kupendelea
dhambi,
basi
hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Msamehevu
na
Mwenye
kurehemu.
]
[ حرمت عليكم الميتة والدم ولحم الخنزير وما أهل لغير الله به والمنخنقة والموقوذة والمتردية والنطيحة وما أكل السبع إلا ما ذكيتم وما ذبح على النصب وأن تستقسموا بالأزلام ذلكم فسق اليوم يئس الذين كفروا من دينكم فلا تخشوهم واخشون اليوم أكملت لكم دينكم وأتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم الإسلام دينا فمن اضطر في مخمصة غير متجانف لإثم فإن الله غفور رحيم ] — المائدة 3