Filter Results
結果: ( 1 に 6 の 6 )
(0.021 秒)
#1
Al-Baqarah
:124
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Mola
wake
Mlezi
alipo
mjaribu
Ibrahim
kwa
kumpa
amri
fulani,
naye
akazitimiza,
akamwambia:
Hakika
Mimi
nitakufanya
uwe
mwongozi
wa
watu.
Akasema:
Je,
na
katika
vizazi
vyangu
pia?
Akasema:
Ahadi
yangu
haitawafikia
wenye
kudhulumu.
]
[ وإذ ابتلى إبراهيم ربه بكلمات فأتمهن قال إني جاعلك للناس إماما قال ومن ذريتي قال لا ينال عهدي الظالمين ] — البقرة 124
#2
Al-Baqarah
:105
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Walio
kufuru
miongoni
mwa
watu
wa
Kitabu
na
washirikina
hawapendi
mteremshiwe
kheri
yoyote
kutoka
kwa
Mola
wenu
Mlezi.
Na
Mwenyezi
Mungu
humkusudia
kumpa
rehema
yake
ampendaye.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
mwenye
fadhila
kubwa.
]
[ ما يود الذين كفروا من أهل الكتاب ولا المشركين أن ينزل عليكم من خير من ربكم والله يختص برحمته من يشاء والله ذو الفضل العظيم ] — البقرة 105
#3
Al-Ma'idah
:115
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Luqman
:13
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#5
Maryam
:7
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#6
Al Imran
:74
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani