Filter Results
結果: ( 1 に 2 の 2 )
(0.024 秒)
#1
Al Imran
:91
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
wale
walio
kufuru,
na
wakafa
hali
ni
makafiri
haitakubaliwa
kutoka
kwa
yeyote
wao
fidia
ya
dhahabu
ya
kujaza
dunia
nzima
lau
wangeli
itoa.
Hao
watapata
adhabu
chungu,
wala
hawatakuwa
na
wa
kuwanusuru.
]
[ إن الذين كفروا وماتوا وهم كفار فلن يقبل من أحدهم ملء الأرض ذهبا ولو افتدى به أولئك لهم عذاب أليم وما لهم من ناصرين ] — آل عمران 91
#2
Al-Baqarah
:215
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanakuuliza
watoe
nini?
Sema:
Kheri
mnayo
itoa
ni
kwa
ajili
ya
wazazi
na
jamaa
na
mayatima
na
masikini
na
wasafiri.
Na
kheri
yoyote
mnayo
ifanya
Mwenyezi
Mungu
anaijua.
]
[ يسألونك ماذا ينفقون قل ما أنفقتم من خير فللوالدين والأقربين واليتامى والمساكين وابن السبيل وما تفعلوا من خير فإن الله به عليم ] — البقرة 215