Filter Results
結果: ( 1 に 8 の 8 )
(0.024 秒)
#1
Luqman
:20
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kwani
hamwoni
ya
kwamba
Mwenyezi
Mungu
amevifanya
vikutumikieni
viliomo
mbinguni
na
kwenye
ardhi,
na
akakujalizieni
neema
zake,
za
dhaahiri
na
za
siri?
Na
miongoni
mwa
watu
wapo
wanao
bishana
juu
ya
Mwenyezi
Mungu
pasipo
ilimu,
wala
uwongofu,
wala
Kitabu
chenye
nuru.
]
[ ألم تروا أن الله سخر لكم ما في السماوات وما في الأرض وأسبغ عليكم نعمه ظاهرة وباطنة ومن الناس من يجادل في الله بغير علم ولا هدى ولا كتاب منير ] — لقمان 20
#2
Al-Qasas
:72
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Mwaonaje,
Mwenyezi
Mungu
angeli
ufanya
mchana
umekukalieni
moja
kwa
moja
mpaka
Siku
ya
Kiyama,
mungu
gani
asiye
kuwa
Mwenyezi
Mungu
ataye
kuleteeni
usiku
mkapumzika
humo?
Basi
je,
hamwoni?
]
[ قل أرأيتم إن جعل الله عليكم النهار سرمدا إلى يوم القيامة من إله غير الله يأتيكم بليل تسكنون فيه أفلا تبصرون ] — القصص 72
#3
Az-Zukhruf
:51
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Yusuf
:59
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#5
Qaf
:33
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#6
Nuh
:15
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#7
At-Tur
:15
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#8
Adh-Dhariyat
:21
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani