Filter Results
Résultats: ( 1 vers 1 de 1 )
(0,022 secondes)
#1
Al-Hashr
:14
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hawatapigana
nanyi
kwa
mkusanyiko
isipo
kuwa
katika
vijiji
vilivyo
zatitiwa
kwa
ngome,
au
nyuma
ya
kuta.
Wao
kwa
wao
vita
vyao
ni
vikali.
Utawadhania
kuwa
wako
pamoja,
kumbe
nyoyo
zao
ni
mbali
mbali.
Hayo
ni
kwa
kuwa
wao
ni
watu
wasio
na
akili.
]
[ لا يقاتلونكم جميعا إلا في قرى محصنة أو من وراء جدر بأسهم بينهم شديد تحسبهم جميعا وقلوبهم شتى ذلك بأنهم قوم لا يعقلون ] — الحشر 14