Filter Results
Résultats: ( 1 vers 1 de 1 )
(0,021 secondes)
#1
Al-Anfal
:41
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
NA
JUENI
ya
kwamba
ngawira
mnayo
ipata,
basi
khums
(sehemu
moja
katika
tano)
ni
kwa
ajili
ya
Mwenyezi
Mungu
na
Mtume,
na
jamaa,
na
mayatima,
na
masikini,
na
wasafiri,
ikiwa
nyinyi
mmemuamini
Mwenyezi
Mungu
na
tuliyo
yateremsha
kwa
mja
wetu
siku
ya
kipambanuo,
siku
yalipo
kutana
majeshi
mawili.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Muweza
wa
kila
kitu.
]
[ واعلموا أنما غنمتم من شيء فأن لله خمسه وللرسول ولذي القربى واليتامى والمساكين وابن السبيل إن كنتم آمنتم بالله وما أنزلنا على عبدنا يوم الفرقان يوم التقى الجمعان والله على كل شيء قدير ] — الأنفال 41