Filter Results
Resultado: ( 1 para 4 de 4 )
(0,029 segundos)
#1
Al-Ahqaf
:21
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mtaje
ndugu
wa
kina
A'di,
alipo
waonya
watu
wake
kwenye
vilima
vya
mchanga.
Na
kwa
yakini
waonyaji
wengi
walitokea
kabla
yake
na
baada
yake
kuwaambia:
Msimuabudu
isipo
kuwa
Mwenyezi
Mungu.
Hakika
mimi
nakukhofieni
isikupateni
adhabu
ya
siku
iliyo
kuu.
]
[ واذكر أخا عاد إذ أنذر قومه بالأحقاف وقد خلت النذر من بين يديه ومن خلفه ألا تعبدوا إلا الله إني أخاف عليكم عذاب يوم عظيم ] — الأحقاف 21
#2
Al-Baqarah
:158
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
vilima
vya
Safaa
na
Marwa
ni
katika
alama
za
Mwenyezi
Mungu.
Basi
anaye
hiji
kwenye
Nyumba
hiyo
au
akafanya
Umra,
si
kosa
kwake
kuvizunguka.
Na
anaye
jitendea
mwenyewe
kheri
basi
bila
ya
shaka
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
shukrani
na
Mjuzi.
]
[ إن الصفا والمروة من شعائر الله فمن حج البيت أو اعتمر فلا جناح عليه أن يطوف بهما ومن تطوع خيرا فإن الله شاكر عليم ] — البقرة 158
#3
Ash-Shura
:32
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Ar-Rahman
:24
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani