Filter Results
Resultado: ( 1 para 1 de 1 )
(0,023 segundos)
#1
Al-Muminoon
:33
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wakubwa
katika
watu
wake
walio
kufuru
na
wakakanusha
mkutano
wa
Akhera,
na
tukawadekeza
kwa
starehe
katika
maisha
ya
dunia,
walisema:
Huyu
si
chochote
ila
ni
binaadamu
kama
nyinyi;
anakula
mlacho,
na
anakunywa
mnywacho.
]
[ وقال الملأ من قومه الذين كفروا وكذبوا بلقاء الآخرة وأترفناهم في الحياة الدنيا ما هذا إلا بشر مثلكم يأكل مما تأكلون منه ويشرب مما تشربون ] — المؤمنون 33