Filter Results
Resultado: ( 1 para 2 de 2 )
(0,024 segundos)
#1
Al-Ma'idah
:17
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
wamekufuru
walio
sema:
Mwenyezi
Mungu
ni
Masihi
mwana
wa
Maryamu.
Sema:
Ni
nani
mwenye
kumiliki
cho
chote
mbele
ya
Mwenyezi
Mungu
ikiwa
Yeye
angetaka
kumuangamiza
Masihi
mwana
wa
Maryamu,
na
mama
yake,
na
wote
waliomo
katika
ardhi?
Na
mamlaka
ya
mbingu
na
ardhi
na
vilivyomo
ndani
yake
ni
vya
Mwenyezi
Mungu.
Huumba
apendavyo.
Na
Mwenyezi
Mungu
anao
uweza
juu
ya
kila
kitu.
]
[ لقد كفر الذين قالوا إن الله هو المسيح ابن مريم قل فمن يملك من الله شيئا إن أراد أن يهلك المسيح ابن مريم وأمه ومن في الأرض جميعا ولله ملك السماوات والأرض وما بينهما يخلق ما يشاء والله على كل شيء قدير ] — المائدة 17
#2
Ash-Sh'araa
:115
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani