Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,020 ثانية)
#1
الزمر
:6
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Amekuumbeni
kutokana
na
nafsi
moja.
Kisha
akamfanya
mwenziwe
katika
nafsi
ile
ile.
Na
akakuleteeni
wanyama
wa
mifugo
jozi
nane.
Anakuumbeni
katika
matumbo
ya
mama
zenu,
umbo
baada
ya
umbo,
katika
viza
vitatu.
Huyu
ndiye
Mwenyezi
Mungu
Mola
wenu
Mlezi.
Ufalme
ni
wake.
Hapana
mungu
isipo
kuwa
Yeye.
Basi
nyinyi
mnageuzwa
wapi?
]
[ خلقكم من نفس واحدة ثم جعل منها زوجها وأنزل لكم من الأنعام ثمانية أزواج يخلقكم في بطون أمهاتكم خلقا من بعد خلق في ظلمات ثلاث ذلكم الله ربكم له الملك لا إله إلا هو فأنى تصرفون ] — الزمر 6