Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,024 ثانية)
#1
الأنعام
:35
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
ikiwa
ni
makubwa
kwako
huku
kukataa
kwao,
basi
kama
unaweza
kutafuta
njia
ya
chini
kwa
chini
ya
ardhi,
au
ngazi
kwendea
mbinguni
ili
uwaletee
Ishara
--
Na
lau
kuwa
Mwenyezi
Mungu
angependa
angeli
wakusanya
kwenye
uwongofu.
Basi
usiwe
miongoni
mwa
wasio
jua.
]
[ وإن كان كبر عليك إعراضهم فإن استطعت أن تبتغي نفقا في الأرض أو سلما في السماء فتأتيهم بآية ولو شاء الله لجمعهم على الهدى فلا تكونن من الجاهلين ] — الأنعام 35