Filter Results
النتائج: ( 1 الى 3 من 3 )
(0,025 ثانية)
#1
الأنفال
:75
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
watakao
amini
baadaye
na
wakahajiri,
na
wakapigana
Jihadi
pamoja
nanyi,
basi
hao
ni
katika
nyinyi.
Na
jamaa
wa
nasaba
wanastahikiana
wenyewe
kwa
wenyewe
zaidi
katika
Kitabu
cha
Mwenyezi
Mungu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kujua
kila
kitu.
]
[ والذين آمنوا من بعد وهاجروا وجاهدوا معكم فأولئك منكم وأولو الأرحام بعضهم أولى ببعض في كتاب الله إن الله بكل شيء عليم ] — الأنفال 75
#2
الصافات
:158
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wameweka
makhusiano
ya
nasaba
baina
yake
na
majini;
na
majini
wamekwisha
jua
bila
ya
shaka
kuwa
wao
watahudhurishwa.
]
[ وجعلوا بينه وبين الجنة نسبا ولقد علمت الجنة إنهم لمحضرون ] — الصافات 158
#3
الفرقان
:54
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani