Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,023 ثانية)
#1
الحج
:11
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
katika
watu
wapo
wanao
muabudu
Mwenyezi
Mungu
kwa
ukingoni.
Ikimfikia
kheri
hutulia
kwayo,
na
ukimfikia
msukosuko
hugeuza
uso
wake.
Amekhasiri
dunia
na
Akhera;
hiyo
ndiyo
khasara
iliyo
wazi.
]
[ ومن الناس من يعبد الله على حرف فإن أصابه خير اطمأن به وإن أصابته فتنة انقلب على وجهه خسر الدنيا والآخرة ذلك هو الخسران المبين ] — الحج 11