Filter Results
النتائج: ( 1 الى 4 من 4 )
(0,022 ثانية)
#1
الأنعام
:100
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Bado
wamemfanyia
Mwenyezi
Mungu
majini
kuwa
washirika
wake,
na
hali
Yeye
ndiye
aliye
waumba.
Na
wakamzulia,
bila
ya
ujuzi
wowote,
kuwa
ana
wana
wa
kiume
na
wa
kike.
Subhanahu,
Ametakasika
na
ametukuka
juu
ya
hayo
wanayo
mbandikiza
nayo!
]
[ وجعلوا لله شركاء الجن وخلقهم وخرقوا له بنين وبنات بغير علم سبحانه وتعالى عما يصفون ] — الأنعام 100
#2
البقرة
:49
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
vile
tulipo
kuokoeni
kwa
watu
wa
Firauni
walio
kupeni
adhabu
mbaya,
wakiwachinja
wana
wenu
wa
kiume
na
wakawawacha
hai
wanawake;
na
katika
hayo
ulikuwa
ni
mtihani
mkubwa
ulio
toka
kwa
Mola
wenu
Mlezi.
]
[ وإذ نجيناكم من آل فرعون يسومونكم سوء العذاب يذبحون أبناءكم ويستحيون نساءكم وفي ذلكم بلاء من ربكم عظيم ] — البقرة 49
#3
الشورى
:49
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
الصافات
:149
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani