Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,023 ثانية)
#1
النساء
:25
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
asiyeweza
kati
yenu
kupata
mali
ya
kuolea
wanawake
wa
kiungwana
Waumini,
na
aoe
katika
vijakazi
Waumini
iliyo
wamiliki
mikono
yenu
ya
kulia.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
wa
imani
yenu.
Nyinyi
mmetokana
wenyewe
kwa
wenyewe.
Basi
waoeni
kwa
idhini
ya
watu
wao,
na
wapeni
mahari
yao
kama
ada,
wawe
wanawake
wema,
si
makahaba
wala
si
mahawara.
Na
wanapo
olewa
kisha
wakafanya
uchafu
basi
adhabu
yao
itakuwa
ni
nusu
ya
adhabu
waliyo
wekewa
waungwana.
Hayo
ni
kwa
yule
miongoni
mwenu
anaye
ogopa
kuingia
katika
zina.
Na
mkisubiri
ndio
bora
kwenu.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe
na
Mwenye
kurehemu.
]
[ ومن لم يستطع منكم طولا أن ينكح المحصنات المؤمنات فمن ما ملكت أيمانكم من فتياتكم المؤمنات والله أعلم بإيمانكم بعضكم من بعض فانكحوهن بإذن أهلهن وآتوهن أجورهن بالمعروف محصنات غير مسافحات ولا متخذات أخدان فإذا أحصن فإن أتين بفاحشة فعليهن نصف ما على المحصنات من العذاب ذلك لمن خشي العنت منكم وأن تصبروا خير لكم والله غفور رحيم ] — النساء 25