Filter Results
النتائج: ( 1 الى 2 من 2 )
(0,021 ثانية)
#1
لقمان
:10
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ameziumba
mbingu
bila
ya
nguzo
mnazo
ziona;
na
ameweka
katika
ardhi
milima
ili
ardhi
isikuyumbisheni;
na
ametawanya
humo
kila
namna
ya
wanyama;
na
tumeteremsha
maji
kutoka
mbinguni,
na
tukaotesha
katika
ardhi
mimea
mizuri
ya
kila
namna.
]
[ خلق السماوات بغير عمد ترونها وألقى في الأرض رواسي أن تميد بكم وبث فيها من كل دابة وأنزلنا من السماء ماء فأنبتنا فيها من كل زوج كريم ] — لقمان 10