Filter Results
النتائج: ( 1 الى 4 من 4 )
(0,021 ثانية)
#1
فصلت
:16
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
tuliwapelekea
upepo
wa
kimbunga
katika
siku
za
ukorofi,
ili
tuwaonjeshe
adhabu
ya
kuwahizi
katika
uhai
wa
duniani,
na
bila
ya
shaka
adhabu
ya
Akhera
ina
hizaya
zaidi,
na
wala
wao
hawatanusuriwa.
]
[ فأرسلنا عليهم ريحا صرصرا في أيام نحسات لنذيقهم عذاب الخزي في الحياة الدنيا ولعذاب الآخرة أخزى وهم لا ينصرون ] — فصلت 16
#2
الأعراف
:131
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Likiwafika
jema
wakisema:
Haya
ni
haki
yetu.
Na
likiwafika
ovu
husema:
Musa
na
walio
pamoja
naye
ni
wakorofi.
Hakika
ukorofi
wao
huo
unao
wafikia
unatoka
kwa
Mwenyezi
Mungu.
Lakini
wengi
wao
hawajui.
]
[ فإذا جاءتهم الحسنة قالوا لنا هذه وإن تصبهم سيئة يطيروا بموسى ومن معه ألا إنما طائرهم عند الله ولكن أكثرهم لا يعلمون ] — الأعراف 131
#3
النمل
:47
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
يس
:19
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani