Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,078 saniye)
#1
Al-A'raf
:57
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Yeye
ndiye
anaye
peleka
pepo
(za
kuvuma)
kuwa
ni
bishara
kabla
ya
kufika
rehema
yake.
Hata
hizo
pepo
zinapo
beba
mawingu
mazito
tunayachunga
mpaka
kwenye
nchi
iliyo
kufa.
Kisha
tunateremsha
kwayo
maji,
ndio
kama
hivyo
tukatolesha
kila
aina
ya
matunda.
Basi
hali
kadhaalika
tunavyo
wafufua
wafu,
ili
mpate
kukumbuka.
]
[ وهو الذي يرسل الرياح بشرا بين يدي رحمته حتى إذا أقلت سحابا ثقالا سقناه لبلد ميت فأنزلنا به الماء فأخرجنا به من كل الثمرات كذلك نخرج الموتى لعلكم تذكرون ] — الأعراف 57