Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,021 saniye)
#1
Al-Baqarah
:109
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wengi
miongoni
mwa
watu
wa
Kitabu
wanatamani
lau
wange
kurudisheni
nyinyi
muwe
makafiri
baada
ya
kuamini
kwenu,
kwa
ajili
ya
uhasidi
uliomo
ndani
ya
nafsi
zao,
baada
ya
kwisha
wapambanukia
Haki.
Basi
sameheni
na
wachilieni
mbali
mpaka
Mwenyezi
Mungu
atapo
leta
amri
yake.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Muweza
wa
kila
kitu.
]
[ ود كثير من أهل الكتاب لو يردونكم من بعد إيمانكم كفارا حسدا من عند أنفسهم من بعد ما تبين لهم الحق فاعفوا واصفحوا حتى يأتي الله بأمره إن الله على كل شيء قدير ] — البقرة 109