Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,028 saniye)
#1
An-Nisa'
:3
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
ikiwa
mnaogopa
kuwa
hamtowafanyia
mayatima
uadilifu,
basi
oeni
mnao
wapenda
katika
wanawake,
wawili
au
watatu
au
wane.
na
mkiogopa
kuwa
hamwezi
kufanya
uadilifu,
basi
mmoja
tu,
au
wale
ambao
mikono
yenu
ya
kulia
imewamiliki.
Kufanya
hivi
ndiko
kutapelekea
msikithirishe
wana.
]
[ وإن خفتم ألا تقسطوا في اليتامى فانكحوا ما طاب لكم من النساء مثنى وثلاث ورباع فإن خفتم ألا تعدلوا فواحدة أو ما ملكت أيمانكم ذلك أدنى ألا تعولوا ] — النساء 3