Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,034 saniye)
#1
Al-Ahqaf
:20
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
siku
watakapo
letwa
walio
kufuru
kwenye
Moto
wataambiwa:
Nyinyi
mlitwaa
vitu
vyenu
vizuri
katika
uhai
wa
duniani,
na
mkastareheshwa
navyo.
Basi
leo
ndio
mnalipwa
adhabu
ya
fedheha
kwa
mlivyo
kuwa
mkitakabari
katika
ardhi
bila
ya
haki,
na
kwa
sababu
mlikuwa
mkifanya
upotovu.
]
[ ويوم يعرض الذين كفروا على النار أذهبتم طيباتكم في حياتكم الدنيا واستمتعتم بها فاليوم تجزون عذاب الهون بما كنتم تستكبرون في الأرض بغير الحق وبما كنتم تفسقون ] — الأحقاف 20