Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,038 saniye)
#1
Al-Baqarah
:184
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
(Mfunge)
siku
maalumu
za
kuhisabika.
Na
atakaye
kuwa
miongoni
mwenu
mgonjwa
au
yumo
safarini
basi
atimize
hisabu
katika
siku
nyengine.
Na
wale
wasio
weza,
watoe
fidiya
kwa
kumlisha
masikini.
Na
atakaye
fanya
wema
kwa
kujitolea,
basi
ni
bora
kwake.
Na
mkifunga
ni
bora
kwenu,
kama
mnajua.
]
[ أياما معدودات فمن كان منكم مريضا أو على سفر فعدة من أيام أخر وعلى الذين يطيقونه فدية طعام مسكين فمن تطوع خيرا فهو خير له وأن تصوموا خير لكم إن كنتم تعلمون ] — البقرة 184