Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,028 saniye)
#1
Al-Kahf
:18
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Nawe
utawadhania
wamacho,
na
hali
wamelala.
Nasi
tunawageuza
kulia
na
kushoto.
Na
mbwa
wao
amenyoosha
miguu
yake
ya
mbele
kizingitini.
Kama
ungeli
watokea
hapana
shaka
ungeli
geuka
kuwakimbia,
nawe
umejaa
khofu.
]
[ وتحسبهم أيقاظا وهم رقود ونقلبهم ذات اليمين وذات الشمال وكلبهم باسط ذراعيه بالوصيد لو اطلعت عليهم لوليت منهم فرارا ولملئت منهم رعبا ] — الكهف 18