Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,022 saniye)
#1
Al-Kahf
:28
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
isubirishe
nafsi
yako
pamoja
na
wanao
muomba
Mola
wao
Mlezi
asubuhi
na
jioni,
hali
ya
kuwa
wanataka
radhi
yake.
Wala
macho
yako
yasiwaruke
kwa
kutaka
pambo
la
maisha
ya
dunia.
Wala
usimt'ii
tuliye
mghafilisha
moyo
wake
asitukumbuke,
na
akafuata
matamanio
yake
yakawa
yamepita
mpaka.
]
[ واصبر نفسك مع الذين يدعون ربهم بالغداة والعشي يريدون وجهه ولا تعد عيناك عنهم تريد زينة الحياة الدنيا ولا تطع من أغفلنا قلبه عن ذكرنا واتبع هواه وكان أمره فرطا ] — الكهف 28