Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,022 saniye)
#1
Al-Baqarah
:125
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kumbukeni
tulipo
ifanya
ile
Nyumba
(ya
Alkaaba)
iwe
pahala
pa
kukusanyikia
watu
na
pahala
pa
amani.
Na
alipo
kuwa
akisimama
Ibrahim
pafanyeni
pawe
pa
kusalia.
Na
tuliagana
na
Ibrahim
na
Ismail:
Itakaseni
Nyumba
yangu
kwa
ajili
ya
wanao
izunguka
kwa
kut'ufu
na
wanao
jitenga
huko
kwa
ibada,
na
wanao
inama
na
kusujudu.
]
[ وإذ جعلنا البيت مثابة للناس وأمنا واتخذوا من مقام إبراهيم مصلى وعهدنا إلى إبراهيم وإسماعيل أن طهرا بيتي للطائفين والعاكفين والركع السجود ] — البقرة 125