Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,023 segundos)
#1
Al-Ma'idah
:97
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mwenyezi
Mungu
ameifanya
Al
Kaaba,
hii
Nyumba
Tukufu,
ni
simamio
la
watu,
na
kadhaalika
Miezi
Mitukufu,
na
wanyama
wa
dhabihu,
na
vigwe.
Hayo
ili
mjue
ya
kwamba
Mwenyezi
Mungu
anayajua
yaliyomo
mbinguni
na
yaliyomo
katika
ardhi,
na
ya
kwamba
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
wa
kila
kitu.
]
[ جعل الله الكعبة البيت الحرام قياما للناس والشهر الحرام والهدي والقلائد ذلك لتعلموا أن الله يعلم ما في السماوات وما في الأرض وأن الله بكل شيء عليم ] — المائدة 97