Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,023 segundos)
#1
Al-Baqarah
:185
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mwezi
wa
Ramadhani
ambao
imeteremshwa
humo
Qur'ani
kuwa
ni
uwongofu
kwa
watu,
na
hoja
zilizo
wazi
za
uwongofu
na
upambanuzi.
Basi
ataye
kuwa
mjini
katika
mwezi
huu
naafunge.
Na
mwenye
kuwa
mgonjwa
au
safarini,
basi
atimize
hisabu
katika
siku
nyengine.
Mwenyezi
Mungu
anakutakieni
yaliyo
mepesi
wala
hakutakieni
yaliyo
mazito,
na
mtimize
hiyo
hisabu,
na
mumtukuze
Mwenyezi
Mungu
kwa
kuwa
amekuongoeni
ili
mpate
kushukuru.
]
[ شهر رمضان الذي أنزل فيه القرآن هدى للناس وبينات من الهدى والفرقان فمن شهد منكم الشهر فليصمه ومن كان مريضا أو على سفر فعدة من أيام أخر يريد الله بكم اليسر ولا يريد بكم العسر ولتكملوا العدة ولتكبروا الله على ما هداكم ولعلكم تشكرون ] — البقرة 185