Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,021 segundos)
#1
An-Nisa'
:176
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanakuomba
uhukumu,
sema:
Mwenyezi
Mungu
anakupeni
hukumu
juu
ya
mkiwa.
Ikiwa
mtu
amekufa,
naye
hana
mtoto,
lakini
anaye
ndugu
wa
kike,
basi
huyo
atapata
nusu
alicho
acha
maiti.
Na
mwanamume
atamrithi
ndugu
wa
kike
ikiwa
hana
mwana.
Na
ikiwa
wao
ni
ndugu
wa
kike
wawili,
basi
watapata
thuluthi
mbili
za
alicho
acha
maiti.
Na
wakiwa
ndugu
wanaume
na
wanawake,
basi
mwanamume
atapata
sehemu
iliyo
sawa
na
ya
wanawake
wawili.
Mwenyezi
Mungu
anakubainishieni
ili
msipotee;
na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
wa
kila
kitu.
]
[ يستفتونك قل الله يفتيكم في الكلالة إن امرؤ هلك ليس له ولد وله أخت فلها نصف ما ترك وهو يرثها إن لم يكن لها ولد فإن كانتا اثنتين فلهما الثلثان مما ترك وإن كانوا إخوة رجالا ونساء فللذكر مثل حظ الأنثيين يبين الله لكم أن تضلوا والله بكل شيء عليم ] — النساء 176