Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.023 saat)
#1
Al-Baqarah
:228
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wanawake
walio
achwa
wangoje
peke
yao
mpaka
t'ahara
(au
hedhi)
tatu
zipite.
Wala
haiwajuzii
kuficha
alicho
umba
Mwenyezi
Mungu
katika
matumbo
yao,
ikiwa
wanamuamini
Mwenyezi
Mungu
na
Siku
ya
Mwisho.
Na
waume
wao
wana
haki
ya
kuwarejesha
katika
muda
huo,
kama
wakitaka
kufanya
sulhu.
Nao
wanawake
wanayo
haki
kwa
Sharia
kama
ile
haki
iliyo
juu
yao.
Na
wanaume
wana
daraja
zaidi
kuliko
wao.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
nguvu
na
Mwenye
hikima.
]
[ والمطلقات يتربصن بأنفسهن ثلاثة قروء ولا يحل لهن أن يكتمن ما خلق الله في أرحامهن إن كن يؤمن بالله واليوم الآخر وبعولتهن أحق بردهن في ذلك إن أرادوا إصلاحا ولهن مثل الذي عليهن بالمعروف وللرجال عليهن درجة والله عزيز حكيم ] — البقرة 228
#2
Al-Jathiya
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani