Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.021 saat)
#1
Al-An'am
:158
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanangoja
jengine
ila
wawafikie
Malaika,
au
awafikie
Mola
wako
Mlezi,
au
zifike
baadhi
ya
Ishara
za
Mola
wako
Mlezi?
Siku
zitakapo
fika
baadhi
ya
Ishara
za
Mola
wako
Mlezi,
kuamini
hapo
hakutomfaa
mtu
kitu,
ikiwa
hakuwa
ameamini
kabla
yake,
au
amefanya
kheri
katika
Imani
yake.
Sema:
Ngojeni,
nasi
pia
tunangoja.
]
[ هل ينظرون إلا أن تأتيهم الملائكة أو يأتي ربك أو يأتي بعض آيات ربك يوم يأتي بعض آيات ربك لا ينفع نفسا إيمانها لم تكن آمنت من قبل أو كسبت في إيمانها خيرا قل انتظروا إنا منتظرون ] — الأنعام 158