Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.039 saat)
#1
Al-Kahf
:22
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Watasema:
Walikuwa
watatu,
wa
nne
wao
ni
mbwa
wao.
Na
wanasema:
Walikuwa
watano,
wa
sita
wao
ni
mbwa
wao.
Wanavurumisha
ovyo.
Na
wanasema:
Walikuwa
saba,
na
wa
nane
wao
ni
mbwa
wao.
Sema:
Mola
wangu
Mlezi
ndiye
anaye
jua
sawa
sawa
hisabu
yao.
Hawawajui
ila
wachache
tu.
Basi
usibishane
juu
yao
ila
kwa
mabishano
ya
juu
juu
tu
hivi.
Wala
usiulize
khabari
zao
kwa
yeyote
yule.
]
[ سيقولون ثلاثة رابعهم كلبهم ويقولون خمسة سادسهم كلبهم رجما بالغيب ويقولون سبعة وثامنهم كلبهم قل ربي أعلم بعدتهم ما يعلمهم إلا قليل فلا تمار فيهم إلا مراء ظاهرا ولا تستفت فيهم منهم أحدا ] — الكهف 22