Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Ahzab
:51
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Unaweza
kuakhirisha
zamu
kwa
umtakaye
katika
wao,
na
umsogeze
umtakaye.
Na
kama
ukimtaka
yule
uliye
mtenga,
basi
si
vibaya
kwako.
Kufanya
hivi
kutapelekea
yaburudike
macho
yao,
wala
wasihuzunike,
na
wawe
radhi
juu
ya
kile
unacho
wapa
wao
wote.
Na
Mwenyezi
Mungu
anajua
yaliyomo
nyoyoni
mwenu,
na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kujua,
Mwenye
hikima.
]
[ ترجي من تشاء منهن وتؤوي إليك من تشاء ومن ابتغيت ممن عزلت فلا جناح عليك ذلك أدنى أن تقر أعينهن ولا يحزن ويرضين بما آتيتهن كلهن والله يعلم ما في قلوبكم وكان الله عليما حليما ] — الأحزاب 51