Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al Imran
:75
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
miongoni
mwa
Watu
wa
Kitabu
yupo
ambaye
ukimpa
amana
ya
mrundi
wa
mali
atakurudishia,
na
miongoni
mwao
yupo
ambaye
ukimpa
amana
ya
dinari
moja
hakurudishii
isipo
kuwa
ukimsimamia
kumdai.
Haya
ni
kwa
kuwa
wakisema:
Hatuna
lawama
kwa
ajili
ya
hawa
wasio
jua
kusoma.
Na
wanamzulia
uwongo
Mwenyezi
Mungu,
hali
nao
wanajua.
]
[ ومن أهل الكتاب من إن تأمنه بقنطار يؤده إليك ومنهم من إن تأمنه بدينار لا يؤده إليك إلا ما دمت عليه قائما ذلك بأنهم قالوا ليس علينا في الأميين سبيل ويقولون على الله الكذب وهم يعلمون ] — آل عمران 75