Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.027 saat)
#1
Al-A'raf
:89
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Bila
ya
shaka
itakuwa
tumemzulia
uwongo
Mwenyezi
Mungu
tukirudi
katika
mila
yenu
baada
ya
kwisha
tuokoa
nayo
Mwenyezi
Mungu.
Wala
haiwi
kwetu
sisi
kuirejea
mila
hiyo,
ila
akitaka
Mwenyezi
Mungu,
Mola
Mlezi
wetu.
Ujuzi
wa
Mola
Mlezi
wetu
umeenea
katika
kila
kitu.
Kwa
Mwenyezi
Mungu
tunategemea.
Ewe
Mola
Mlezi
wetu!
Tuhukumie
baina
yetu
na
kaumu
yetu
kwa
haki,
nawe
ndiye
mbora
wa
wanao
hukumu.
]
[ قد افترينا على الله كذبا إن عدنا في ملتكم بعد إذ نجانا الله منها وما يكون لنا أن نعود فيها إلا أن يشاء الله ربنا وسع ربنا كل شيء علما على الله توكلنا ربنا افتح بيننا وبين قومنا بالحق وأنت خير الفاتحين ] — الأعراف 89
#2
Al-Mulk
:29
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani