Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Ankabut
:40
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
kila
mmoja
tulimtesa
kwa
mujibu
wa
makosa
yake.
Kati
yao
wapo
tulio
wapelekea
kimbunga
cha
changarawe;
na
kati
yao
wapo
walio
nyakuliwa
na
ukelele;
na
kati
yao
wapo
ambao
tulio
wadidimiza
katika
ardhi;
na
kati
yao
wapo
tulio
wazamisha.
Wala
Mwenyezi
Mungu
hakuwa
mwenye
kuwadhulumu,
lakini
walikuwa
wenyewe
wakijidhulumu
nafsi
zao.
]
[ فكلا أخذنا بذنبه فمنهم من أرسلنا عليه حاصبا ومنهم من أخذته الصيحة ومنهم من خسفنا به الأرض ومنهم من أغرقنا وما كان الله ليظلمهم ولكن كانوا أنفسهم يظلمون ] — العنكبوت 40