Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.023 saat)
#1
Al-Ahqaf
:15
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
tumemuusia
mwanaadamu
awatendee
wema
wazazi
wake
wawili.
Mama
yake
amechukua
mimba
yake
kwa
taabu,
na
akamzaa
kwa
taabu.
Na
kuchukua
mimba
kwake
hata
kumwachisha
ziwa
ni
miezi
thalathini.
Hata
anapo
fika
utu
uzima
wake,
na
akafikilia
miaka
arubaini,
husema:
Mola
wangu
Mlezi!
Niwezeshe
nishukuru
neema
zako
ulizo
nineemesha
mimi
na
wazazi
wangu,
na
nitende
mema
unayo
yapenda.
Na
unitengenezee
dhuriya
zangu.
Hakika
mimi
nimetubu
kwako,
na
mimi
ni
miongoni
mwa
Waislamu.
]
[ ووصينا الإنسان بوالديه إحسانا حملته أمه كرها ووضعته كرها وحمله وفصاله ثلاثون شهرا حتى إذا بلغ أشده وبلغ أربعين سنة قال رب أوزعني أن أشكر نعمتك التي أنعمت علي وعلى والدي وأن أعمل صالحا ترضاه وأصلح لي في ذريتي إني تبت إليك وإني من المسلمين ] — الأحقاف 15
#2
Al-Muminoon
:100
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani