Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.027 saat)
#1
Al-Baqarah
:231
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mtakapo
wapa
wanawake
t'alaka,
nao
wakafikia
kumaliza
eda
yao,
basi
warejeeni
kwa
wema
au
waachilieni
kwa
wema.
Wala
msiwarejee
kwa
kuwadhuru
mkafanya
uadui.
Na
atakaye
fanya
hivyo,
amejidhulumu
nafsi
yake.
Wala
msizichukulie
Aya
za
Mwenyezi
Mungu
kwa
maskhara.
Na
kumbukeni
neema
ya
Mwenyezi
Mungu
juu
yenu,
na
aliyo
kuteremshieni
katika
Kitabu
na
hikima
anacho
kuonyeni
kwacho.
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu,
na
jueni
kwamba
hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
wa
kila
kitu.
]
[ وإذا طلقتم النساء فبلغن أجلهن فأمسكوهن بمعروف أو سرحوهن بمعروف ولا تمسكوهن ضرارا لتعتدوا ومن يفعل ذلك فقد ظلم نفسه ولا تتخذوا آيات الله هزوا واذكروا نعمت الله عليكم وما أنزل عليكم من الكتاب والحكمة يعظكم به واتقوا الله واعلموا أن الله بكل شيء عليم ] — البقرة 231